Jaguar atua Dar akiwa na ndege yake kuwashukuru watanzania wanaomsapoti
Msanii Jaguar wa 254 kenya, weekend hii alitua jijini dar
es salaam na ndege anayoimiliki aina ya cessna akiwa ameongozana na crew ya
watu sita, ktk tour ambayo yeye amesema ni maalum kwa ajili ya kuwashukuru fans
wake wa Tanzania kwa kuzipokea ngoma zake vizuri,
vilevile alikua ameleta ngoma
yake mpya inaitwa kioo pamoja na video ambayo ameishoot ndani ya gereza moja
kenya, ilikua ni shangwe kwa baadhi ya wafungwa siku ambayo msanii alifika
gerezani hapo kwani alipomaliza ku shoot video alitoka na wafungwa wengine nane
kwa kuwalipia dhamana, mtonyo kama milioni kumi zilitumika ktk zoezi hilo,
hapa
jaguar anafunguka vigezo alivyotumia ktk kuwadhamini wafungwa nane hadi
wakafutiwa adhabu za kifungo
pia vile vile jaguar akafunguka kuhusu aina biashara
yake ya tax inavyomlipa, na alianza na tax moja miaka mitano iliyopita na sasa
hivi anamiliki zaidi ya tax mia
jaguar hapendi kuzungumzia sana utajiri wake, ila
anasema hii ni biashara clean wala hajihusishi na madawa, anaamini mungu na si
mfuasi wa freemason na kwasasa jaguar amesepa jana kurudi zake kenya
.png)
By
7:05 AM

0 comments