Open top menu
Saturday, January 25, 2014
Tuesday, January 21, 2014
Muigizaji nyota wa tamthilia ya Isidingo lesego Motsepe afariki

Muigizaji nyota wa tamthilia ya Isidingo lesego Motsepe afariki
Muigizaji nyota, Lesego Motsepe, ambae alikuwa akijulikana kama Letti Matabanne katika tamthilia ya Isidingo amefariki dunia.
statement iliyotolewa kwa niaba ya familia ya Motsepe inasema kuwa, alikutwa akiwa ameshafariki na kaka yake "Moemise Motsepe" akiwa nyumbani kwake mida ya saa tano asubuhi,

Mwaka 2011, siku ya ukimwi duniani, Motsepe alijitangaza hadharani hali yake ya VVU katika kusaidia kupambana na unyanyappaa dhidi ya watu wanaoishi na ugonjwa huo. Alifanya pia warsha kadhaa na mazungumzo juu ya umuhimu wa kuishi kwa matumaini  kwa walioathirika na Ukimwi moja kwa moja au vinginevyo. Yeye pia alifanya kazi kama balozi wa Ukimwi kwa miaka mingi, kuwaelimisha watoto katika jamii mbalimbali.
Lesego ameelezewa kama binti mwenye upendo, dada na rafiki, alikuwa ni mhitimu wa mchezo wa kuigiza, alikuwa ni muigizaji, mshairi,na mtoa hadithi ambaye alitumia zaidi ya miaka 10 katika sehem kubwa ya tamthilia hiyo maarufu. 
Motsepe aliishi na mama yake - Ivy Skhosana na kaka zake wawili  wawili - Andile Skosana na Moemise Motsepe na wapwa mbalimbali, wajukuu, familia yake ya kiroho na familia pana.
Read more
Jaguar atua Dar akiwa na ndege yake kuwashukuru watanzania wanaomsapoti

Jaguar atua Dar akiwa na ndege yake kuwashukuru watanzania wanaomsapoti




Msanii Jaguar wa 254 kenya, weekend hii alitua jijini dar es salaam na ndege anayoimiliki aina ya cessna akiwa ameongozana na crew ya watu sita, ktk tour ambayo yeye amesema ni maalum kwa ajili ya kuwashukuru fans wake wa Tanzania kwa kuzipokea ngoma zake vizuri,
 vilevile alikua ameleta ngoma yake mpya inaitwa kioo pamoja na video ambayo ameishoot ndani ya gereza moja kenya, ilikua ni shangwe kwa baadhi ya wafungwa siku ambayo msanii alifika gerezani hapo kwani alipomaliza ku shoot video alitoka na wafungwa wengine nane kwa kuwalipia dhamana, mtonyo kama milioni kumi zilitumika ktk zoezi hilo,
 hapa jaguar anafunguka vigezo alivyotumia ktk kuwadhamini wafungwa nane hadi wakafutiwa adhabu za kifungo
pia vile vile jaguar akafunguka kuhusu aina biashara yake ya tax inavyomlipa, na alianza na tax moja miaka mitano iliyopita na sasa hivi anamiliki zaidi ya tax mia
 

jaguar hapendi kuzungumzia sana utajiri wake, ila anasema hii ni biashara clean wala hajihusishi na madawa, anaamini mungu na si mfuasi wa freemason na kwasasa jaguar amesepa jana kurudi zake kenya 

 

Read more
iPhone Hi-Jacked : Grand Theft Auto 4

iPhone Hi-Jacked : Grand Theft Auto 4

2
(Reichtenburg, Germany) UCS News-- German high school student has once again achieved the impossible. 18 years old Hans Nuttzipper has cracked the encryption and ported the shocking popular Grand Theft Auto 4 video game to the Apple iPhone.
According to tech watchers Nuttzipper has "Once again scaled the mount Olympus of iPhone - hacks." CNet declared the GTA4 iPhone hack "A stunning achievement that will inspire millions."

Nuttzipper announced the GTA4/iPhone hack on his blog and provided the 18 step instructions and required code. The young German took on the challenge after a classmate stated it would be impossible. Nuttzipper attacked the iPhone and his copy of GTA 4 with vengeance and after a marathon coding session booted GTA4 on his 8gig iPhone.

Steve Jobs stated in a press release "Nuttzipper is a giant among his peers, this single feat will nearly guarantee Apple sells another million iPhones next year."
"We are excited about creating a vibrant third-party developer community around the iPhone and enabling hundreds of new applications for our users," Jobs said in the posting.
Read more