Irene Uwoya afunguka kuhusu ishu yake ya kutembea na Diamond! .... Na hiki ndicho alichosema
Baada ya
majaribio mengi ya kupiga simu yake ambayo ilikuwa haipatikani muda wote wa
mchana baadaye kwenye mida ya saa kumi na mbili hivi jioni tuliweza kumpata
hewani na Jibu lake lilikuwa moja tuu kuwa “achana nazo” na sisi tukaona kweli
tuachane nazo ila tukufukishie wewe msomaji wetu mpendwa “response” hiyo ili
mwenyewe uamue na kutafakari. Hilo ndo jibu alilotupa mwanadada mrembo wa bongo
movies Irene Uwoya kuhusu tuhuma za yeye kutoka kimapenzi na msanii
Diamond.
Source:Bongo
Movies
0 comments