Open top menu
Thursday, April 25, 2013

NAKAAYA: UJA UZITO WANGU SIO WA MTU MAARUFU

Posted: 2013-04-23 12:42:52 UTC-07:00
Hit maker wa "Mr Politician" Nakaaya Sumari, baada ya kukaa kimya kwa mda mrefu, amezungumza na Amplifaya ya Clouds Fm na kuthibitisha kuwa ana ujauzito ambao ni miezi kadhaa tu atajifungua.Alipoulizwa kuhusu baba wa mtoto huyo, Nakaya alicheka kwanza na kusema kuwa ni wa mtakatifu, na kugoma kabisa kumtaja baba wa mtoto huyo mtarajiwa, huku akisema kuwa sio wa mtu yeyote anaejulikana.
blog hii inakutakia li;a la kheri na ujifungue salama
hivi sasa pia Nakaaya ameachia wimbo mpya unaoitwa "Utu Uzima Dawa" akiwa amemshirikisha producer Dunga, ukiwa umetengenezwa chini ya producer Lamar "Fish Crab"

Tagged
Different Themes
Written by Templateify

Aenean quis feugiat elit. Quisque ultricies sollicitudin ante ut venenatis. Nulla dapibus placerat faucibus. Aenean quis leo non neque ultrices scelerisque. Nullam nec vulputate velit. Etiam fermentum turpis at magna tristique interdum.

0 comments